Mbakeni
Kumkomoa sio busara cha msingi fuateni kanuni na maadili ya kazi yenu kwa juhudi maarifa na nidhamu atakayepwaya ndiyo atawajibika kwa nafasi yake hakuna marefu yasiyo na ncha
mpeni live
Wadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa anataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu haujafika kazn na ulimpigia simu kwa vile hujasaini popote anaamua kuandika barua ya utoro anapeleka hadi kwa mkurugenz. Wakati yeye anafukuza wanafunz halafu majina yao anauza kwa watu wengine waliomaliza shule na kufeli wanakuja kuyatumia pesa zote anakula mwenyewe mfano kuna darasa x lina mamluki 5 hadi sasa pia kwenye akaunt ya shule yeye hujichukulia pesa bila hata vikao vya staff wala bodi .je tufanyeje ili kumkomoa maana inaonekana yuko karibu na afsa elimu.
Wewe ni mwongo, mzushi na mzandiki, habari ya mkuu wa shule kuuza majina ni kitu ambacho hakiwezekani kwa sababu kila mwanafunzi anapo ingia kidato cha kwamza anakuwa na TSM9 yake ambayo inapicha ya ku scan na personal particulars zake zote, sasa akiuza jina atauza na sura ya mwanafunzi husika? Sura itabadilishwaje? Na TSM9 ndio zinazo tumika kwenye usajili wa mitihani ya taifa, wewe utoro wako usikufanye uanze kuandika uongo, unadhani humu Jf wote ni ma mbumbumbu unao dhani ni rahisi kuwadanganya. Bado swala la kuchua fedha kwa siri haliwezekani kwani ni lazima waweka sahihi (signatories) wengine waweke sahihi zao kwenye hundi na kwenye cheque list ndo fedha anaweza kutoka ninapenda ujue kuwa humu kuna great thinkers USIANDIKE UONGO kama unasema ukweli andika jina la shule jina la mkuu wa shule na jina lako uone kama hujafungwa kwa kosa la kuzua uongo NINAWACHUKIA SANA WATU WANAOSEMA UONGO.
Weka kila kitu kweupe,jina lake,jina la shule...
Kazi rahisi sana. Nipm Jina lake, shule uliyokoWadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa tanataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu haujafika kazn na ulimpigia simu kwa vile hujasaini popote anaamua kuandika barua ya utoro anapeleka hadi kwa mkurugenz. Wakati yeye anafukuza wanafunz halafu majina yao anauza kwa watu wengine waliomaliza shule na kufeli wanakuja kuyatumia pesa zote anakula mwenyewe mfano kuna darasa x lina mamluki 5 hadi sasa pia kwenye akaunt ya shule yeye hujichukulia pesa bila hata vikao vya staff wala bodi .je tufanyeje ili kumkomoa maana inaonekana yuko karibu na afsa elimu.
qualifier hata sie hayo tunayajua kwamba lazma yafanyike tsm9 picha zake huscaniwa wanafunzi wanaposajiliwa kwa ajili ya mtihan wa drs la saba na yawezekana, hadi sasa kuna wanafunz majina yao yameuzwa kwa wanafunz wengine na mie ndo mwl wa darasa sasa wewe unachobisha nakushangaa! anayepeleka picha ili zikascaniwe ni mkuu na zinaporudi zinahakikiwa na mkuu huyohuyo. abt signatories hawa hupitisha hundi tu lakin hawana maamuz ya kutoa pesa bila kamati kujua pamoja na staf nahic kuna anavyofanya nao kaz kwan mwakilish wa waalimu ni mmoja na mwakilish wa wananch ni mmoja kati ya watu lukuki tena huyu yawezeka hata akawa anasahini J.D akimaanisha james damiani. acha ubish kinachotakiwa ni tuanzie wapi kumkomoa.
Usithubutu mtu akwambie umpm na umtajie jina la shule halafu na lakwako,huezi jua huenda naye ana mashushu yake humu halafu ikawa nongwa kama unataka afahamike shule na jina tumia akili kidogo vinginevyo itakula kwako maana ujue unamtia mtu hatiani na yeye hatokubali kirahisi take care mwalimu tumia akili sana kumtambulisha humu na wewe ubaki salama. Ni hayo tu.qualifier hata sie hayo tunayajua kwamba lazma yafanyike tsm9 picha zake huscaniwa wanafunzi wanaposajiliwa kwa ajili ya mtihan wa drs la saba na yawezekana, hadi sasa kuna wanafunz majina yao yameuzwa kwa wanafunz wengine na mie ndo mwl wa darasa sasa wewe unachobisha nakushangaa! anayepeleka picha ili zikascaniwe ni mkuu na zinaporudi zinahakikiwa na mkuu huyohuyo. abt signatories hawa hupitisha hundi tu lakin hawana maamuz ya kutoa pesa bila kamati kujua pamoja na staf nahic kuna anavyofanya nao kaz kwan mwakilish wa waalimu ni mmoja na mwakilish wa wananch ni mmoja kati ya watu lukuki tena huyu yawezeka hata akawa anasahini J.D akimaanisha james damiani. acha ubish kinachotakiwa ni tuanzie wapi kumkomoa.