Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,585 Jan 14, 2019 #1 Je Hawa watu wa nitumie ile pesa wameshindikana kudhibitiwa.angalia hii Nitumie kwenye namba hii 0754890620 jina MOHAMMED KIZENGA ukituma nijulishe nifanyie haraka Sent using Jamii Forums mobile app
Je Hawa watu wa nitumie ile pesa wameshindikana kudhibitiwa.angalia hii Nitumie kwenye namba hii 0754890620 jina MOHAMMED KIZENGA ukituma nijulishe nifanyie haraka Sent using Jamii Forums mobile app
M Mabeberu Member Joined Jan 3, 2019 Posts 79 Reaction score 142 Jan 14, 2019 #2 wananitumiaga nimeshinda Tatu mzuka niwapigie simu sasa mimi hiyo tatu mzuka hata siijui
Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,585 Jan 14, 2019 Thread starter #3 Natakiwa kutoa taarifa wapi ili namba hizo zifungiwe Sent using Jamii Forums mobile app
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,863 Reaction score 3,099 Jan 14, 2019 #4 watishie wataacha me tangu niwatishie hawajawahi kunitumia Sent using Jamii Forums mobile app
Le ngosha Senior Member Joined Aug 1, 2018 Posts 107 Reaction score 104 Jan 14, 2019 #5 Tatizo TCRA wanachojali ni kufungia channel tu,mambo ya simu za hawa matapeli hawajishughulishi nazo hata kidogo..... Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo TCRA wanachojali ni kufungia channel tu,mambo ya simu za hawa matapeli hawajishughulishi nazo hata kidogo..... Sent using Jamii Forums mobile app
Donkey JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,499 Reaction score 1,585 Jan 14, 2019 Thread starter #6
D dalaber JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 1,806 Reaction score 1,655 Jan 14, 2019 #7 Waganga feki nao bado wanatuma nimechoka kuwatukana sasa nawatazama tu Attachments Screenshot_20190112-154754.png 21 KB · Views: 29 Screenshot_20190114-190624.png 11.6 KB · Views: 33