Ile ndoa nimeihairisha rasmi, nitaoa 2035

Hata ukikataa tutakulazimisha.,,,,,,
Jichungeni sana na maisha haya maana hayatabiriki
 
Mkuu tulikuwa tunakutazama jinsi ulivyokurupuka kutaka kuoa huyo mwanamke mliyekutana nyuma ya keyboard.
 
Back
Top Bottom