Mwenye nakala ya Ilani hiyo au anayejua website yenye ilani hiyo, msaada. Pia waliotundika bendera ya CHADEMA traffic lights za oilcom petro station/maji machafu/COSTECH waiondoe tafadhali maana imechakaa na kudhalilisha chama.