wale waseng.e baridi wanatongoza kuzuga jamii. nlikutana na mmoja ujanani jamani katika foreplay uwiiiii haya ingiza anaanza story ooh nlimpa mimba mtoto wa mwenye nyumba nikaikataa akaniroga yaani kila siku story mpya
Kwani unatunga story??si unaandika kitu halisi ulichokutana nacho...yani unakuwa kama unaadisia hadithi...hujui kwamba kushare experience kutawasaidia wenzio wengi humu ambao wanatafuta wenza..mana siku hz nadhani mapunga yamekuwa mengi kweli
Dunia simama kata ya Mamaye nishuke then nitembee kwa miguu mpaka Ibongoya nikatokezee Koromije nifuate Barabara ya vumbi mpaka Mantare nikatokezee Sumve