Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa.
Oneni aibu