Iko wapi fuaha yetu ?

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
217
Ni mwaka mmoja tangu tuwe na mahusiana tulikuwa wenye furaha ! Tulielewana ki tabia tukavumiliana , nikaja lipa mahari ! Familia yangu iko buzy kuandaa harusi mwz wa nane umeanza vituko , mamako haishi ukorofi ! Mara akutume unambie hamjajiandaa kwa ndoa mara eti nigharamie send off.. We mwenyewe ndo dah ! Huishi ubishi , kila nkisema wabishia... Kununa tu.... Poa me poa tu.. Nalala.
 
Dah!!! Pole zako stuka kabla haijakula kwako omba urudishiwe mahari yako, hii ndoa hata kama mtaifunga haina uhai.

 
Kimbia fastaaa, hapo hutakiwi mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mhh ndoa ishaanza kuota mbawaaa kama ya nani vile eti....
 
Mkuu umenuna hadi unakuja kulalamika kwa mkweo JF,Nakushauri kachukue fedha ununulia matofari au kifusi cha mchanga ufanye ujenzi
 
Amakweli ukishangaa ya Dida utastaajabu ya Vicky kamata
 

Soma alama za nyakati. Huyo tayari ana mtu mwingine wanataka wewe ndio ujitoe wakwepe lawama. Jifanye hamnazo uone mwisho wake wakati unatafuta kitu kingine taratibu. Send off sio kazi yako na waambie siyo ya lazima
 
Dah... baadae usiseme hukuona hilo mapema.....
Lakini kwa upande mwingine, inawezekana ni mchoko tu wa maandalizi ya shughuli za harusi si unaelewa lakini? ...pole sana
 
Nanukuu"fuaha, mahusiana, buzy" duh ....okay anyway inawezekana huyo unayetaka kumuoa hayuko tayar hvyo anatafuta visa tu mzinguane ...kumbuka bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa dalili ya mvua ni mawingu .....
 

i can feel the pain you're going through, kwa jinsi unavyo andika....
pole sana.
kaa nae muongee.. utajua tatizo lilipo..
 
Bora ukosee kununua gar lakn s ukosee kuoa mkubwa
 
Maskini!
Sa si usimuoe tu?
Huwa tunakosea sana kuamini mtu atabadilika humo kwa humo!
 
Nakukubalia kaka wataona nakomaa nao
Soma alama za nyakati. Huyo tayari ana mtu mwingine wanataka wewe ndio ujitoe wakwepe lawama. Jifanye hamnazo uone mwisho wake wakati unatafuta kitu kingine taratibu. Send off sio kazi yako na waambie siyo ya lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…