Ikiwa utaamka asubuhi na kukuta umechanjwa chale mwilini,basi ujue wewe ni mteule

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Niamini Mimi si mchawi,wala jini, atakae kuwa amekuchanja Bali Mungu mwenyewe,

Hapo yakupaswa kuwa mvumilivu maana utapitia mambo makuu na baadae kufuzu kwa ajili ya kuitumikia jamii

Niamini hakuna wakati Siri za Mungu zimetoka kama kipindi hiki na wengi mnaoelewa tu kitu kimoja,kifupi Michael Jackson alitabiri kwa kusema This is it!ktk album yake ya mwisho akiwa stejini

zidi kunifuatilia utagundua maneno haya yameandikwa kwa weledi na kuvuka hatari zote za kiuandishi sio rahisi kuwa na visa mfululizo kibinadamu ila wakati huu vipo

Nb:tunza siri na ndoto Unazooteshwa jisikilize kabla ya kusema au kuandika utafika muda nawe utapewa mda wa kutamba

Instagram:kaukwaju
 
Yani Mwenyezi Mungu anachanja chale..!?
Yani nimerudia rudia kusoma sielewi kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako una jina la kichina utaelewaje kiswahili Mkuu vitu vingine vitazame uviache vilivyo.Maisha yakuchanganye,familia,ndg,marafiki,majirani n.k uje jf nako ukutane na thread za ajabu.Bro,ukifuatilia sana utapasuka kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno hili ni bora libaki siri...likiwa wazi naamin utawapoteza hata wateule.
Amani ya bwana iwe juu yako, Amoun#
 
Back
Top Bottom