Mkuu Ni kweli maana nami nipo hapa Zanzibar tuna semina yetu hapa Zanzibar beach resort sasa ukitaka story basi madreva taxi wamejaa. Kwa mfano taxi Dreva mmoja katwambia Kuna mwenzia alimbeba mtu Wa CCM wakati tajiri wa gari Ni ngunguri basi Dreva aliambiwa akaoshe gari hiyo maana Kuna nuksi Na jamaa akanyang'anywa gari.Ni hatari sana