Hebu nifundisheni kuhusu hizi tabia la ulalaji. Mfano utakuta mtu umelala kwa mgongo lakini upo usingizini hujielewi lakini ukishtuka umelala kwa ubavu au tumbo. Na hiyo ndo inakuwa ni style yako ya ulalaji. Au mwingine analala vizuri lakini akishasinzia anatawanya miguu au mikono, je ni kazi ya hormone nayo hii au mwili unajifanyaje wakati mtu anakuwa hajielewei?