Ubarikiwe kwa useful Info.
asante sana ni muhimu sana kufundishana kuhusu mambo ambayo yako kimya katikati yetu.
endocrine system iko kimya sana yaani utakuta wengi wanaingolea kuhusu insulin tu na labda ovary na testes lakin nyingine zote hatujaweza kujifunza na kuzielewa.
Ndg.Utafiti.. Mie nikinywa hata maji kabla ya kuenda kulala basi usingizi hupotea kwa mda wa masaa!! je, kuna uhusiano na glands hizo?Shukran gfsonwin, hii tezi ina unauhusiano wowote na vitu vyenye caffeine? Mimi nikinywa redbull au kahawa usingizi hauji kabisa, ndio kusema nikinywa vitu hivyo inazuia uzalishwaji wake?
Ndg.Utafiti.. Mie nikinywa hata maji kabla ya kuenda kulala basi usingizi hupotea kwa mda wa masaa!! je, kuna uhusiano na glands hizo?
Shukran gfsonwin, hii tezi ina unauhusiano wowote na vitu vyenye caffeine? Mimi nikinywa redbull au kahawa usingizi hauji kabisa, ndio kusema nikinywa vitu hivyo inazuia uzalishwaji wake?
unapokunywa maji tayari mwili wako unajua kwamba kuna kitu kimeingia na maji huongeza hewa ya oksijen mwilini na hivyo hufanya mwili kuchangamka zaid. ndio maana usingizi hupaa.Ndg.Utafiti.. Mie nikinywa hata maji kabla ya kuenda kulala basi usingizi hupotea kwa mda wa masaa!! je, kuna uhusiano na glands hizo?
Mimi siongelei ule muda wa kulala, mimi nikinywa ata mida ya jioni basi usiku wake inaweza kufika asubuhi bila kusinzia....kuhusu swali lako subiri dokta hapo atatoa jibu....
Indeed, hiyo nimethibitisha 100%.unapokunywa maji tayari mwili wako unajua kwamba kuna kitu kimeingia na maji huongeza hewa ya oksijen mwilini na hivyo hufanya mwili kuchangamka zaid. ndio maana usingizi hupaa.
sasa wewe siku jaribu hii kama uko kazini na unajihisi umechoka sana chukua maji ya baridi kabisa alafu changanya na maji ya moto yaliyochemka kisha unywe uone utapata uzima usio wa kawaida. sababu kubwa ni umeongezsa kiwango kingi cha oksijeni kilicho na molecules ambazo zinaweza kuelea kwa wepesi na hivyo zikasafiri haraka zaidi.
Mafaao yako hayo !! thanks for this gift.Hongera sana, wewe umegundua siri ya kuupa ubongo uhai zaidi
Nakushukuru sana , ivo ivo ukipataga maInfo. yenye manufaa na faida kwa jamii ututupie ili tuelimishane na kuzinduwana...Siku hizi magonjwa ya kiaina na bila kujaali umri !! God bless youkaribu sana....