IIGP Siro: Jani la upupu ni haramu ukikutwa nalo au la? Sababu ni suluhu ya wizi wa bodaboda, ngeta na n.k

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Tunaomba jeshi LlaPolisi liweke wazi, ili watu watu waweze kujihami kwa unga huo wa upupu (magic powder),

Upupu a.k.a shoti ya umeme wa kienyeji

Ikitokea wezi wa boda boda watawavamia basi waweze kuwamwagia sawa sawa na wakabaji roba

Waweze kuutunza ktk lailoni ili iwe rahisi kutoboa kwa kidole na kumpaka mkabaji au kumwagia tokea mfukoni,lazima akuachie ndani ya mda mfupi labda siyo upupu wa Tabora

Inakuhitaji kijiko Kimoja au viwili tu vya upupu vilingisha ktk laioni.

Nb:haliwezi kuwa zao la biashara na kuwauzia mataifa au nyie polisi ktk maji yenu ya washawasha

Hupatikana kwa wingi Tabora.
 
imenichukua muda ila nimekuelewa

umamuuliza igp siro je jani la upupu ni haramu kama ukikutwa nalo? maana unaweza litumia dhidi ya wezi wa bodaboda na wakabaji.

shida umeandika kama vile siro ndo kayasema maneno hayo wakati ww lengo ni kumuuliza siro kama ilo jani ni haramu ama laah.
 
Tubaomba jeshi LA Polisi liweke wazi,ili watu watu waweze kujihami kwa unga huo wa upupu(magic powder),

Upupu a.k.a shoti ya umeme wa kienyeji

Ikitokea wezi wa boda boda watawavamia basi waweze kuwamwagia sawa sawa na wakabaji roba

Waweze kuutunza ktk lailoni ili iwe rahisi kutoboa kwa kidole na kumpaka mkabaji au kumwagia tokea mfukoni,lazima akuachie ndani ya mda mfupi labda siyo upupu wa Tabora

Inakuhitaji kijiko Kimoja au viwili tu vya upupu vilingisha ktk laioni.

Nb:haliwezi kuwa zao LA Biashara na kuwauzia mataifa au nyie polisi ktk maji yenu ya washawasha

Hupatikana kwa wingi Tabora.
Lailoni au nailoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ungeandika kichaga tu maana lugha ya ya taifa inakupiga chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wa tabora mnafurahisha sana hivi ndio umeandika nini hapa?
au ndo unatueleza kuwa watu wa tabora mnazalisha upupu tuje tununue ili mjikwamue kiuchumi?
 
frank kimario humu jukwaani hamna ligi ya nani kapost zaidi.nakuona unapambana kweli ila bahati mbaya hakuna post hata moja ambayo mtu anaweza kujifunza kitu.km huna la maana na pengine unaujua uwezo wako ni mdogo bora ungekaa kimya ukasoma na kuchangia post za wengine.siyo lazima kuanzisha post kwa mambo ambayo hayana tija.
 
Back
Top Bottom