Mkome kuishabikia ccm
Komeni kuishabikia CCM, lakini kamwe msithubutu hata kidogo kuijaribu CDM kuongoza Taifa hili la Tanzania.
Mkiijaribu tu CDM kidogo, huo ndio itakuwa mwisho wa nchi hii yaani kilio cha kusaga meno kwa Watanzania.
huyu bwana amekuja na yakwake,sasa hivi akielekea nyumbani anaenda na ving'ora,mbona kazi tunayo mwaka huu