If you are a single man answer these questions

Baada ya kujibu maswali yako nini kifuatacho?
 
Aisee nakujib kwa kiswahili ili naww usinielewe.

Hapana sijafika 34

Hapana sijawah hata kutoka nje ya nchi labda kwa baadae.

Nipo single sababu ya Uchaguzi.

Daahh MIMI MWANAMKE ASOMCHA MUNGU KAMWE SITOKAA KUMUOA.

NItakua mwaminifu sana na ni mwanaume yule mwanamke atapiga magoti nakusema asante Mbingu kwa baraka ya Mume huyu mwema.

Nmedate wanne ( hapo nmeondoa wale sa safar ya masomo)

Siko , napenda ili nitulie niwe na familia.

Yes nilimcheat mdada wa watu alikua mwema sana. Ila nilimcheat kwa kutongoza tu lkn akakuta meseji. Ivo sikuendeleza mtongozo

Napenda kuimba nyimbo za din

Hobb...... Kutizama mpira ,kusoma sana na kufatilia siasa namatukio ya kila siku ya duniani.

Kwa ajili ya kuishi, mwajiliwa sekta binafsi(afya) na nmejiajiri .

Namiliki kidogo ,ila kitakua kikubwa.[emoji4]


Naomba mbongo ,mwenzangu namie ,aniPM tuyajenge!!!
 
Kiswahili=Swahili.[emoji13][emoji13][emoji13]
Haujui kiswahili lakini unaandika.
I asked someone your and you are because i saw yesterday you are saying your and you are and then i figured that english is not use for you .
Sorry my dear for not write the correct answer.
 
Kama na ww ulkimbia umande tujuane tu hapa mm naona kila kitu ni “is" you, your
_What the fuck_
90 % of the people in here english is the problem thats why i want people to write something like essay.
So i can know who is better in speaking english .
So gents welcome to explain yourself .
 
Insane 🤣🤣🤣🤣🤣 some fucking problem 🤣🤣🤣🤣
 
Unaeza kuta wewe ndo single mother afu unalalamika miaka imekupita.. you have serious problem ... Ukitafutwa unalinga...
 
I asked someone your and you are because i saw yesterday you are saying your and you are and then i figured that english is not use for you .
Sorry my dear for not write the correct answer.
I think you are still learning english, please learn to write proper sentences, otherwise people won't understand you. Never stranslate swahili to english on your own way, you will look stupid. Also show the main purpose of your questions, questions without purpose, are meaningless.
 
Okey
 
Astaghafurulilah...
 
Your = you are

Kwenye heading.
 
Your - you are.


Huu ni utapeli.
 
Then why you're using your instead of you're?
 
Grammar is still a problem to you. Though, umejaribu vizuri tu.
 
90 % of the people in here english is the problem thats why i want people to write something like essay.
So i can know who is better in speaking english .
So gents welcome to explain yourself .
and yet, you are one of them. Those 10% are watching you, be careful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…