If you are a single man answer these questions

Too=to
We w'll = We'll
Dalasa= darasa.
Ni kweli haujafika darasa la saba. Nimekurekebisha na wewe ukitaka lia.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Tabia zenu watanzania tunazijua mnajifanya wajuaji sana ndio maana hata mtu akitaka kujaribu kufanya kitu anaogopa kwasababu mnaangalia wapi kakosea ili mmkosoe. Hii brokeni mimi inanisaidia sana ukitaka kunirekebisha nirekebishe ila kwa adabu
 
My friend ur not supposed to be in this page you have nothing to improve you humiliate our sister's and Young mother..... Think more
 
Tabia zenu watanzania tunazijua mnajifanya wajuaji sana ndio maana hata mtu akitaka kujaribu kufanya kitu anaogopa kwasababu mnaangalia wapi kakosea ili mmkosoe. Hii brokeni mimi inanisaidia sana ukitaka kunirekebisha nirekebishe ila kwa adabu
Ukiandika kibroken lazima urekebishwe.
Ndiyo njia pekee ya kujifunza.
 
Kwani nini kinaendelea humu ndani[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Naona unatafuta mchepuko wa kudumu kiana?
 
Jamanj acheni kutunishiana misuli ya kiinglish i guess mtoa mada aweza kuwa si mswahili wala muinglish possibly ni mrundi au mnyarwanda so labda alipata nafasi ya kujifunza zaidi kiinglish ila bado anamix madude hali inayompelekea kuongea mchanganyiko wa mambo.So tumuelewe tu hakuna namna.
 
Huu ugoko mbona hata Ras Simba hafundishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…