nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
umeelewa nilichoandika au una hangover?Uchochezi tu; mijitu mioga kama mtoa mada ni ya kunyonga tu!!!
toa kwanza hang over urudie kusoma nilichoandika halafu read between the linesAcha uoga wewe mleta mada
Sidhani kama umemuelewa.Uchochezi tu; mijitu mioga kama mtoa mada ni ya kunyonga tu!!!
Unakosea.Ungeacha watiririke kadiri ya uono wao ili tupate takwimu vizuri ya 4:1 NB;Hiyo ni zaburi inayohusu wokovu isihusishwe na lolote.HIVI KUNA WATU MNA O COMMENT HAPO JUU MNA IQ NDOGO HIVYO? MMENIELEWA NILIVYOWASILISHA HUO UZI? I thought huku ndani ni ma great thinkers watupu
HIVI KUNA WATU MNA O COMMENT HAPO JUU MNA IQ NDOGO HIVYO? MMENIELEWA NILIVYOWASILISHA HUO UZI? I thought huku ndani ni ma great thinkers watupu
vipi unasimama na CAG au Ndu gay?We nawe ni Great thinker kweli unaleta majungu. Tumesoma ndio. WEWE NI MPINZANI WA mkuu, so mengine ni majungu tu huna hata uhakika nayo na its not our Business.
Sent using Jamii Forums mobile app