Hakuna mtu atainvest kwenye idea zako labda kama ni Ndugu yako au rafiki wa karibu, so pambana achana na maswala ya kutegemea watu, pia kama upo chuo unaweza chukua ata mzigo wa jeans, calculator, au hata pazia ukaanza kuuza taratibu. Watu wana idea zao nyingii na hawazitekelezi sababu ya shortage of resources. Yani ukitegemea mtu aje kuinvest kwenye idea zako miaka 5 ijayo bado utakua unasubiria.