idara ya maji siwaelewi kabisa!!!!!!!!!!

mmc

Senior Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
109
Reaction score
35
jamani mimi ni mteja wa idara ya maji,nimekaa takribani miezi mitatu bila kuona bill yangu ya maji na kila nilipokuwa nafatilia ofisi za idara ya maji walikuwa wakinambia kuwa system inasumbua hivyo bill za maji hazijatoka kwa wateja wao wote kwa kipindi hicho chote cha miezi mitatu! na juzi nimepata hiyo bill ikiwa na deni la miezi yote hiyo mitatu,ila cha kushangaza nimeandikiwa meter rent ya Tsh 4800 katika balance b/f ambayo ni mara mbili ya meter rent ya kawaida,na meter rent ya Tsh 2400 katika current bill,sasa kilichonishangaza ni kwamba,ni halali balance b/f kuw na meter rent?? nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…