baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Asilimia 99% ya jiji la Arusha hakuna maji.na walisema ni mpaka mwez wa 10Mbona juzi yalitoka mkuu?
Njiro hakukuwa na maji zaidi ya siku 5 llakini majuzi yametokaAsilimia 99% ya jiji la Arusha hakuna maji.na walisema ni mpaka mwez wa 10
Leo zaidi ya wiki jiji la Arusha hatuna maji sijui mnahisi tutaishije,nasikia ni mpaka mwezi wa kumi,mmetuona sie ni ngamia au? Na bili za maji zinasoma kama kawaida.
Acheni uzamani bwana muwe mnakua, au mpaka tubebe ndoo tuje hapo idarani?