Wakuu habari, mimi ni kijana mtanzania, mhitimu wa fani ya Computer science, pia nime-certify CCNA routing and switching. Shida yangu ni kwamba nahitaji nafasi ya kujifunza kwa vitendo hata kwa kujitolea its ok. Ahsante