M M4C ARUSHA Member Joined Apr 27, 2012 Posts 38 Reaction score 4 May 11, 2012 #1 samahani sina maana mbya lakini nimegundua wengi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni wahanga wa uchaguzi mkuu wa 2010 mkitaka nithibitishe nipo tayari .
samahani sina maana mbya lakini nimegundua wengi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni wahanga wa uchaguzi mkuu wa 2010 mkitaka nithibitishe nipo tayari .
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 May 11, 2012 #2 Hujui zimwi likujualo hali.......?
MSOROPOGAS Member Joined Mar 7, 2012 Posts 65 Reaction score 11 May 11, 2012 #3 watajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....