Kiagoh92 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 101 Reaction score 56 Jul 23, 2018 #1 TUNAUZA ICE CREAM MASHINE(KONI) Anza sasa Biashara hii uvune pesa,,,,, Tunauza mashine za kutengeneza ICE CREAM(koni) pamoja na CHOSTICK Gharama ni 2400000 mafunzo ya kutengeneza Ice Cream hutolewa Bureeeeee Ofisi ipo AIRPORT _KIPAWA CONTACT;; 0625492963 {Whatsapp} 0769915749 {calls and message}
TUNAUZA ICE CREAM MASHINE(KONI) Anza sasa Biashara hii uvune pesa,,,,, Tunauza mashine za kutengeneza ICE CREAM(koni) pamoja na CHOSTICK Gharama ni 2400000 mafunzo ya kutengeneza Ice Cream hutolewa Bureeeeee Ofisi ipo AIRPORT _KIPAWA CONTACT;; 0625492963 {Whatsapp} 0769915749 {calls and message}
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Jul 23, 2018 #2 Sisi wa mikoani VP?
Kiagoh92 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 101 Reaction score 56 Jul 23, 2018 Thread starter #3 BRO SANTANA said: Sisi wa mikoani VP? Click to expand... Utaratibu wa kutuma upo unaweza kutumia namba kwa mawasiliano zaidi
BRO SANTANA said: Sisi wa mikoani VP? Click to expand... Utaratibu wa kutuma upo unaweza kutumia namba kwa mawasiliano zaidi
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,799 Reaction score 24,228 Jul 23, 2018 #4 mkuu natamani sana hizi machine,je naruhusiwa kulipa kwa awamu?
Kiagoh92 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 101 Reaction score 56 Jul 24, 2018 Thread starter #5 Jembekillo said: mkuu natamani sana hizi machine,je naruhusiwa kulipa kwa awamu? Click to expand... Hapan mkuu huo utaratibu hatujawa nao kwasasa
Jembekillo said: mkuu natamani sana hizi machine,je naruhusiwa kulipa kwa awamu? Click to expand... Hapan mkuu huo utaratibu hatujawa nao kwasasa
Jimbi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2010 Posts 4,605 Reaction score 5,193 Mar 20, 2019 #6 Kiagoh92 said: Hapan mkuu huo utaratibu hatujawa nao kwasasa Click to expand... Ili kutengeneza hizo ice cream unahitaji kuwa na vitu gani? (Igridients) na zinapatikana vipi? Ili mashine isijekuwa pambo tu, hebu elezea vizuri hapo naona mnajikosesha wateja kwenye eneo hilo Boss.
Kiagoh92 said: Hapan mkuu huo utaratibu hatujawa nao kwasasa Click to expand... Ili kutengeneza hizo ice cream unahitaji kuwa na vitu gani? (Igridients) na zinapatikana vipi? Ili mashine isijekuwa pambo tu, hebu elezea vizuri hapo naona mnajikosesha wateja kwenye eneo hilo Boss.
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,442 Reaction score 23,121 Jul 24, 2021 #7 Bado zipo mkuu,?nahitaji mashine moja,Bei kwa sasa Ni sh .ngapi