Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Kapewa amri hiyo na nani?Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC,Bi Fatou Bensouda amepewa juma moja kuiondoa kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya au aeleze kama ana ushahidi wa kuendelea na kesi hiyo. Kuna uwezekano mkubwa kesi hiyo kuondolewa ICC.
Chanzo:BBC Kiswahili
Kapewa amri hiyo na nani?
Safi sana.Majaji wa ICC Mkuu. Leo hii
Majaji wa ICC Mkuu. Leo hii
Judge Utamwa alikuwepo?
Mkuu ICC haina Jaji wa kutoka Tanzania
Uhuru hasingekua RAIS ushahidi ungepatikana tena mzuri,ila kwa sasa ni ngumu,ila huyu mama FATUMA (MUENDESHA MASHTKA)kashusha eshima ya mahakama.OCAMPO alikua hana mchezo,waafrika hatuwezi kazi,kwanza huyu mama hao wahalifu hawaogopi,ila yule mreno alikua NOMA sana
Navyojua ICC kuna mwendesha mashitaka na majaji...labda huyo alopewa amri ni mwendesha mashitaka (Chief Prosecutor) mimi namkumbuka Ocampo..alimaliza muda wake...aliye m replace simjui jina...
Mahakama ziko very complicated...watu wanafungwa wasio na hatia...wengine wanaachiwa huru wakiwa na makosa...kuna tofauti kati ya haki na sheria...
Kuna dada mmoja anatokea moja ya nchi za eastern Europe alikuwa anasimulia kuhusu mshitakiwa mmoja sijiu Serbia sijui wapi..naye alikuwa kwenye moja ya mahakama The Hague...unaambiwa jamaa liko mahabusu lakini likipelekwa mahakamani linatumia ishara ambazo zinawaumiza mashaidi kwani ndizo walizokuwa wanatumia wakati wanawachinja...kuna siku shaidi kama hakufa basi alizimia mahakamani baada ya jamaa kuonyesha hiyo ishara...
Na cha kusikitisha hilo lishitakiwa linapelekewa flowers likiwa mahabusu na followers wake...haya mambo si unajua hata Hitler ana wafuasi...sasa victims wanaon ni upuuzi...maana jamaa alikuwa ndani lakini anakula good time...case haiamuliwi...mashaidi wanakufa kwa uzee...
Ndio maana wananchi wanaamuaga kuchukua sheria mkononi...
Ona sasa Egypt...Jeshi si limemuachia huru Mubarak...wa Egypt wamefura...cha kufanya hawana...nadhani wanatamani wangemtia moto tu....
Uhuru hasingekua RAIS ushahidi ungepatikana tena mzuri,ila kwa sasa ni ngumu,ila huyu mama FATUMA (MUENDESHA MASHTKA)kashusha eshima ya mahakama.OCAMPO alikua hana mchezo,waafrika hatuwezi kazi,kwanza huyu mama hao wahalifu hawaogopi,ila yule mreno alikua NOMA sana
nyumba kubwa, Adharusi, Nyani Ngabu,
CJ wa Tz mohamed chande na fatou bensouda walikuwa 2 finalists kwenye process ya kumrithi ocampo.
Wakuu wa AU ndiyo walioamua kum-support mama bensouda kwa hiyo cj mohamed chande akarudi kuendelea na kazi yake Tz.
Now can u imagine mahusiano ya Tz na Ky yangekuwaje with mohamed chande as ICC chief prosecutor huku akimfuatilia Uhuri Kenyatta na Wiliam Ruto?
ocampo ndiye aliyefanya hii kesi iwe nyonge, hakushugulika kufanya upelelezi huru bali alichukua tu ripoti za NGO na jaji waki. Bensouda aliridhi kesi zisizo kuwa na misingi miema