Yaani huyu jamaa keshavipiga mkwara hata vyombo vya habari hususani TV stations.Hivi Najiuliza zile recorded clips za JKN siku hizi zimepigwa marufuku kwenye TV Station zetu?Au wa naogopa Kesi za Uchochezi?
Mtu yeyote anayesigina katiba ni mchochezi namba moja. Huwezi sigina katiba na sheria alafu unataka watu wasikujadili.Icc wanaangalia mambo mengi sana, kuna wengine wanakuwa ni waroho wa madaraka wanakuwa wanaanzisha migogoro isiyokuwa na sababu ili nchi isitawalike kwa tanzania hilo halitawezekana. Ile mahakama haikanzishwa kwa ajili ya wanaokosea tu bali ni pamoja na wanaoandaa mipango ya vurugu ktk nchi
Mkuu huwa hajaribiwi na hatojaribiwaHabari nilizozipata muda siyo mrefu ni kwamba, Wachunguzi wa maakama ya kimataifa (International Criminal Court) ya ICC, tayari wamefika Tanzania kwa kazi maalum.
Haifaamiki wako wapi, lakini inasemekana tayari wamefanya maongezi na baadhi ya viongozi wa haki za binadamu Tanzania.
Huu nadhani ni ujumbe fika kwa Makonda, Mwigulu, Jeshi la polisi na bosi wao, "Mungu mtu wa Tanzania " Kuwa makini kwani inawezekana wakaingia the Hague.
Huyu mtu mnamwinua sana kama nebkadnezaHizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
Bwana Yesu mwenyewe alijaribiwa, itakuwa MagufuliHizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
Hata pogba kwenda Manchester united zilianza kama tetesi... Let's wait n seeNi tetesi tu umeleta sababu hujawaona.
Habari nilizozipata muda siyo mrefu ni kwamba, Wachunguzi wa maakama ya kimataifa (International Criminal Court) ya ICC, tayari wamefika Tanzania kwa kazi maalum.
Haifaamiki wako wapi, lakini inasemekana tayari wamefanya maongezi na baadhi ya viongozi wa haki za binadamu Tanzania.
Huu nadhani ni ujumbe fika kwa Makonda, Mwigulu, Jeshi la polisi na bosi wao, "Mungu mtu wa Tanzania " Kuwa makini kwani inawezekana wakaingia the Hague.
Unahisi hao ICC wanaangalia polisi tuu hata viongozi wanao lead people to riot they are in trouble.

Huu nadhani ni ujumbe fika kwa Makonda, Mwigulu, Jeshi la polisi na bosi wao, "Mungu mtu wa Tanzania " Kuwa makini
kwani inawezekana wakaingia
the Hague.
CHADEMA viongozi wake, kwa lugha yao ya kuchonganisha viongozi wa Serikali (hasa Rais)na wananchi, ni uchochezi. Kwa hilo ni busara, kwa Serikali yenye wajibu wa kulinda amani, kuwazuia.Karibuni sanaaa ICC itabidi waanze na Mwigulu na mwenzake Makonda maana hao ndio wanao hii nchi ni yao..Hivi Chadema wakiachiwa wakaandamana nini kitafanyika kibaya hivi kuna siku hata moja chadema wameruhusiwa kuandamana ila.CCM ni ruksaaa kabisaaa...
Tujadili kwanza viongozi wa UKAWA wanaosigina Katiba za vyama vyao. Kwa mfano waliteua wagombea katika uchaguzi mkuu 2015 kwa matakwa yao wenyeweMtu yeyote anayesigina katiba ni mchochezi namba moja. Huwezi sigina katiba na sheria alafu unataka watu wasikujadili.
Haaahna sisi hatujaribiwi tusubiri siku hiyo tutakavyo pasuana ipasavyo