Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,745
- 3,729
Mwakani abaki huyu dogo. watamnunua. End season tu. Utaona yupo europe for trialsBaade mtawakataa wote hao mwakani.
Umeniwahi wapi ndo nilikuwa nataka kuandikaKatika sajili ambazo yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake, Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika
Namuona Nadir haroub canavaro ndani ya bacca, Yule mshambuliaji hatari wa malumo Ranga chivaviro kawekwa mfukoni na bwana mdogo mpaka akapanic, dogo ni king'ang'anizi anaakikisha anakukaba mpaka kivuli chako,
Ranga chivaviro atamuota leo uyu dogo, kapiga kazi ya maana leo na kwangu mimi binafsi ndiye Man of the match, tokea bacca aanze kuchezeshwa kwenye safu ya ulinzi ya yanga kuna kitu kikubwa kakiongeza, na yanga aijaruhusu goli tokea asimame pale yeye na mwamnyeto, kwakweli yanga ilipata quality ya defender apewe pongezi zake🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
Mbona hii comment yako ni kama umekabwa na kitu kigumu kooni.Baade mtawakataa wote hao mwakani.
Huyu dogo ni zaidi ya cannavaro coz hyu dogo anatumia akili zaidi sio km cannavaro alikuwa beki wa butua butua[emoji253][emoji257][emoji1651][emoji259][emoji255][emoji255][emoji816][emoji3515][emoji256] Nadhani kijana anastahili kabisa. Uchezaji wake hauna tofauti kubwa na ule wa Nadir Haroub Cannavaro. Amekuwa ni beki kisiki kweli kweli.
Naamini hata kwenye ile mechi na simba kama angeanza, muda huu tungekuwa tunaongea story nyingine kabisa. Simba siyo timu ya kuifunga hii Yanga ya wakati huu.
lile jina la ZANZIBAR FINEST lipokonywe kwa yule mwehu akili mbili,apewe huyu jamaaKatika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake
Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika
Namuona Nadir Haroub Canavaro ndani ya Bacca, yule mshambuliaji hatari wa malumo Ranga chivaviro kawekwa mfukoni na bwana mdogo mpaka akapanic, dogo ni king'ang'anizi anaakikisha anakukaba mpaka kivuli chako
Ranga Chivaviro atamuota leo uyu dogo, kapiga kazi ya maana leo na kwangu mimi binafsi ndiye Man of the match, tokea Bacca aanze kuchezeshwa kwenye safu ya ulinzi ya yanga kuna kitu kikubwa kakiongeza, na Yanga aijaruhusu goli tokea asimame pale yeye na mwamnyeto, kwakweli yanga ilipata quality ya defender apewe pongezi zake🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
Mbona hii comment yako ni kama umekabwa na kitu kigumu kooni.
Huyu mtoto anastahili hizi sifa ni beki aliekamilika anaweza cheza mipira ya juu kwa asilimia mia moja.
Anauwezo wa kucheza mipira ya chini anapiga tackling za akili sana kifupi bwana mdogo ni beki hasa.
[emoji256][emoji3515]⚘️[emoji257][emoji1651][emoji259][emoji254][emoji253]🪷[emoji260][emoji253][emoji816][emoji254]🪷[emoji257][emoji1651][emoji259]🪴⚘️🪻[emoji255]Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake
Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika
Namuona Nadir Haroub Canavaro ndani ya Bacca, yule mshambuliaji hatari wa malumo Ranga chivaviro kawekwa mfukoni na bwana mdogo mpaka akapanic, dogo ni king'ang'anizi anaakikisha anakukaba mpaka kivuli chako
Ranga Chivaviro atamuota leo uyu dogo, kapiga kazi ya maana leo na kwangu mimi binafsi ndiye Man of the match, tokea Bacca aanze kuchezeshwa kwenye safu ya ulinzi ya yanga kuna kitu kikubwa kakiongeza, na Yanga aijaruhusu goli tokea asimame pale yeye na mwamnyeto, kwakweli yanga ilipata quality ya defender apewe pongezi zake[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]