M mmp Member Joined Sep 10, 2014 Posts 33 Reaction score 2 Feb 18, 2015 #1 Iam Tanzania man aged 30 years, Iam Looking for woman who will marry me.
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Feb 18, 2015 #2 mmmmh! 30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,152 Reaction score 11,209 Feb 19, 2015 #3 Shy land said: mmmmh! 30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana Click to expand... Ulitaka aoe akiwa na miaka kumi na ngap
Shy land said: mmmmh! 30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana Click to expand... Ulitaka aoe akiwa na miaka kumi na ngap
C cey New Member Joined Jan 27, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Feb 19, 2015 #4 mmp said: Iam Tanzania man aged 30 years, Iam Looking for woman who will marry me. Click to expand... Kila la kheri kaka
mmp said: Iam Tanzania man aged 30 years, Iam Looking for woman who will marry me. Click to expand... Kila la kheri kaka
raamar JF-Expert Member Joined Aug 17, 2014 Posts 252 Reaction score 23 Feb 19, 2015 #5 Sweet16 said: Ulitaka aoe akiwa na miaka kumi na ngap Click to expand... kwan umri wa kuoa haufahamiki?,kala bata na vi dada vya Mrina leo anakuja kutangaza ndoa hapa,hata dada angu simpi
Sweet16 said: Ulitaka aoe akiwa na miaka kumi na ngap Click to expand... kwan umri wa kuoa haufahamiki?,kala bata na vi dada vya Mrina leo anakuja kutangaza ndoa hapa,hata dada angu simpi
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,798 Feb 19, 2015 #6 Shy land said: mmmmh! 30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana Click to expand... ulitaka akaoe akiwa bado ananuka maziwa mdomon? anyway nampa chance akifika 35 anitafte
Shy land said: mmmmh! 30yrs ago, hauna mwanamke utakuwa unamatizo makubwa sana Click to expand... ulitaka akaoe akiwa bado ananuka maziwa mdomon? anyway nampa chance akifika 35 anitafte
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,245 Reaction score 2,856 Feb 19, 2015 #7 luckyline said: ulitaka akaoe akiwa bado ananuka maziwa mdomon? anyway nampa chance akifika 35 anitafte Click to expand... UNATAKA uzae mtoto kichaa
luckyline said: ulitaka akaoe akiwa bado ananuka maziwa mdomon? anyway nampa chance akifika 35 anitafte Click to expand... UNATAKA uzae mtoto kichaa
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,319 Reaction score 4,273 Feb 20, 2015 #8 Mtoa mada mbna hajatoa vigezo na masharti yoyote?
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,385 Feb 23, 2015 #9 Shy land said: UNATAKA uzae mtoto kichaa Click to expand... achen utan kw vtu sirious siku unaweka uzi wako af unakutana jokes za aina hi cjui utajckiaje.
Shy land said: UNATAKA uzae mtoto kichaa Click to expand... achen utan kw vtu sirious siku unaweka uzi wako af unakutana jokes za aina hi cjui utajckiaje.
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,152 Reaction score 11,209 Feb 24, 2015 #10 raamar said: kwan umri wa kuoa haufahamiki?,kala bata na vi dada vya Mrina leo anakuja kutangaza ndoa hapa,hata dada angu simpi Click to expand... Umri wa kuoa ni upi? Labda kijijini kwenu mna umri wa kuoa unaoeleweka ila mi nijuavyo ni pale mtu anafikia muda anaona sasa anahitaji mwenza wa maisha haijalishi ana 40's au 10's
raamar said: kwan umri wa kuoa haufahamiki?,kala bata na vi dada vya Mrina leo anakuja kutangaza ndoa hapa,hata dada angu simpi Click to expand... Umri wa kuoa ni upi? Labda kijijini kwenu mna umri wa kuoa unaoeleweka ila mi nijuavyo ni pale mtu anafikia muda anaona sasa anahitaji mwenza wa maisha haijalishi ana 40's au 10's