Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,861
- 18,418
Umetuletea nini?
#MaendeleoHayanaChama
kwa heshima kubwa naomba kama Taifa tuanze kuadhimishi wiki ya " USIOE, TAFUTA PESA"View attachment 2041802
Nimepanda miti kadhaa man.
Si unajua hizi ajira sio za kutegemea hata kama ni za serikali.
Nilichokuja nacho ni kilekile "USIOE TAFUTA PESAA"
#YNWA
We bibi natamana ukutane na kijana wa kileo mimi nikusquirtike, nikutoe lile jojo la uzee uzee, ukumbuke ujana,umsahau babu.I love avocados [emoji1649], esp oily and meaty ones....
When I chop them with banana, whooh itβs more than a squirt [emoji12][emoji12][emoji12][emoji39].
Kasinde.
Zero IQ Mzee wa kichakata viazi kuwa chipsi kakutana na Liverpool VPN kwenye Uzi mmoja.Naona hii ni zaidi ya kolabo.Wazee wa kuchakata Mbususu ,kuoa ni mwiko kuoa[emoji28]We bibi natamana ukutane na kijana wa kileo mimi nikusquirtike, nikutoe lile jojo la uzee uzee, ukumbuke ujana,umsahau babu.
Bibi malove
We bibi natamana ukutane na kijana wa kileo mimi nikusquirtike, nikutoe lile jojo la uzee uzee, ukumbuke ujana,umsahau babu.
Bibi malove
Zero IQ kashaoa na mkewe kajifungua juzi tu...!!!!Zero IQ Mzee wa kichakata viazi kuwa chipsi kakutana na Liverpool VPN kwenye Uzi mmoja.Naona hii ni zaidi ya kolabo.Wazee wa kuchakata Mbususu ,kuoa ni mwiko kuoa[emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zero IQ Mzee wa kichakata viazi kuwa chipsi kakutana na Liverpool VPN kwenye Uzi mmoja.Naona hii ni zaidi ya kolabo.Wazee wa kuchakata Mbususu ,kuoa ni mwiko kuoa[emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ulikuwa mshenga mkuu
Kasie..... !!!!I love avocados π₯, esp oily and meaty ones....
When I chop them with banana, whooh itβs more than a squirt ππππ.
Kasinde.
Anatia nyege sana huyu bibie, anaonekana ni bibi flani hivo mwenye tako laini kabisa, bibi flani hivi wa kidigitalKasie..... !!!!
Huyu mwamba nimemuonea huruma balaa...!!!!Mr Liverpool kuna uzi ambao ume trend sana week hii unakuhusu.
Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa
Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...www.jamiiforums.com
Niljua tu huwezi kuiacha jf?emu rejea uzi wakoWajuba mpo.
Mr. Liverpool nimerudi Tena Toka chimbo.
Nimetoka huko porini napo Limia Parachichi zangu.
View attachment 2041779
Eeh bwana eeeeh, panapo majaliwa kuanzia mwezi wa Feb/2022 naingia sokoni na Hass Avocado zangu. Na huu ndio mrejesho. Mliosema sijui nimeoa sijui nini poleni. Nimerudi japo ma adimin wamegoma kufunga hii account. Nadhani JF wametambua harakati zangu za kuokoa vijana na ndoa.
Haya nasikia wengine ndoa zishawashinda huko. Wengine mnateseka nazo. Wengine mnakaribia kufa.Ndugu jipeni raha.
TAFUTENI HELA mle maisha. Kuoa ni ujinga ujinga tu.
Hata JF wamegoma kufunga Hii account is so valuable in saving fellow Tanzanian mens.
MSIOE
MSIOE
TAFUTENI HELAAAA
#YNWA