Inawezekana sana mkuu
Kuna dogo mmoja kitaa alikuwa anakunya kila siku asubuhi.
Siku hizi anakunya jioni
Ye amewezaje kubadili hayo mazoea?[/QUOTE
Kwani haendi tena haja? Hata huyo Suares hakuwan'gata wenzake ndani ya muda unaofanana. Tabia ni hilo tendo, sio muda wa kulifanya!