I. T.V acheni chuki na CUF

na unimanye

Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
84
Reaction score
28
Nimekuwa nikifuatilia sana Taarifa ya Habari ya itv tangu kampeni za uchaguzi za jimbo la kinondoni itv haijawahi kutoa Taarifa za mgombea Cuf...

Mara mnamtambulisha Salim Mwalim kuwa ni mgombea wa Ukawa..!
Ukawa upi wakati kila Chama kimeweka mgombea?

Mgogoro uliopo Cuf ni wa Cuf wenyewe kama chombo cha Habari ripotini kwa usawa.. Acheni kutumika..
 
Tumekusikia
 
CUF nacho ni chama cha siasa?
 

Kwa kukusaidia tu ni kwamba ukiona hupati ' coverage ' ya kutosha au yoyote kutoka kwa Media hasa za Kimadafu / Kitanzania basi jua ya kwamba huwa huwapi ' Pesa ' pale wanapokuja Kwako au unapowahitaji. Na siku hizi hatuwaiti tena Journalists bali tumewabatiza jina jipya la ' Brown Envelop Journalists ' kwa Kitendo chao cha Kutanguliza Pesa / Maslahi kuliko Taaluma, Maadili na Ueledi Kiuwajibikaji / Kazini.
 
Mleta mada kilichokuudhi ni Salum Mwalimu kupewa coverage na si CUF kukoswa coverage !! Vipi TBC ya taifa kuipa CCM 99% ya taarifa zake hazikuumi ila hili la Mwalimu kutambulishwa kama mwana ukawa.CHUKI mbaya sana
 
Nimekupata sana mkuu
 
Mleta mada kilichokuudhi ni Salum Mwalimu kupewa coverage na si CUF kukoswa coverage !! Vipi TBC ya taifa kuipa CCM 99% ya taarifa zake hazikuumi ila hili la Mwalimu kutambulishwa kama mwana ukawa.CHUKI mbaya sana
Mtazamo wako huo
 
cuf hamna mgogoro wa kichama, Ila kuna mgogoro kati ya cuf na Lipumbavu
 
Haswaa, ipo hivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…