I real miss Ijumaa MMU exclusive

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
wapendwa habari,
Jamani kichwa cha habari chajieleza,
kwa wale waliokua wapenzi na wafatiliaji wa kipindi hiki chini ya mahost wa ukwee lara1 na zinduna naombeni mnijuze wot hapened kwa hiki kipindi.
Sio siri nilikua najifunza mengi na kilizidi nishawishi kuipenda jf enzi hizo bt now ckioni tena hewani na sababu siijui.
Tulikua na uwezo wa kuwajua members na maisha yao ya nje ya hii MMU,
Nakumbuka mara ya mwisho ilishauriwa wakati wa interview wawe wanapambanisha watu wawili wenye mirengo totauti kama mimi na ...................
Nawasilisha jamani mnifikishie kilio changu nipate majibu,narudia I real mis this show
 
Zinduna bado anazindua nini sijui? hebu njoo huku watafutwa??
 
Lara 1 hebu muache huyo nanihii apumue kidogo nawe njoo!
 

Nimekuja Suprise
Hebu nipe muda nijadili na shoga yangu lara 1 kisha nitarejeahapa kuweka kajibu yangu,
Ahsante kwa kutambua mchango wetu humu JF
 
Last edited by a moderator:
kwa keli kirudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
CC mods woooooote na KYA boosss mwenyewe!
 
kwa keli kirudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
CC mods woooooote na KYA boosss mwenyewe!
tena mimi natamani waanze na wewe, lol!:A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…