L Limamu New Member Joined Jun 4, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Jun 4, 2018 #1 Habarini za kazi ndugu wapendwa,,naomba kuuliza ivi kama mtu akihitaji kusoma advanced diploma ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form six anafanyaje?
Habarini za kazi ndugu wapendwa,,naomba kuuliza ivi kama mtu akihitaji kusoma advanced diploma ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form six anafanyaje?
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,963 Reaction score 2,383 Jun 6, 2018 #2 Hawezi, lazima awe na diploma ya clinical medicine kwanza