i pod apple 64gb inauzwa

i pod apple 64gb inauzwa

mkuu nipo dar kigamboni fanya 150 maana haina tatizo lolote si charge wala nini hata touch yake haizingui . Ina camera primary na sec pia ni I.O.S 6.5.1 ina wireless gb64 ram ni 256mb. Ni 4th generation .
 
picha hizi hapa jinsi ilivyo ni original kabisa .
 

Attachments

  • Apple-iPod-touch-4G.jpg
    Apple-iPod-touch-4G.jpg
    25.5 KB · Views: 146
  • $(KGrHqN,!lcE6hbFHsDRBOqBi2EnMQ~~_35.JPG
    $(KGrHqN,!lcE6hbFHsDRBOqBi2EnMQ~~_35.JPG
    5.1 KB · Views: 121
  • Apple-iPod-touch-4th-generation-4.jpg
    Apple-iPod-touch-4th-generation-4.jpg
    169.6 KB · Views: 128
  • specs_headphones.jpg
    specs_headphones.jpg
    2.9 KB · Views: 114
Kwa nn unauza bei hiyo? Ndo maana labda wanafikili ni ya kichina. Wambie sababu ya punguzo hilo la bei mkuu
 
nauza bei hyo course bei yake halisi nimejaribu kuuza wanakasema kubwa sana kwani nilianza kwa 200000Tsh ya mtahani . Sasa nimepunguza wanasema ya kichina hili ndo tatizo la watanzania wenzangu. Pia picha na muonekano ni sawasawa kwani haina scrutch yoyote.
 
guarantee muda gan?

ndugu yani nakwambia haina tatizo lolote niamini na guarantee ni matunzo yako kwani vitu kama hv si poa kushare na watu. Na apple product zao ni imara sana si rahisi kuharibika.
 
Kesho unaweza kuja sinza na hiyo simu

kaka hii ni i pod si simu ila ni special kwa miziki ,video na movies pia unaweza kutumia wireless na kuinstall baadhi ya programs kama games,fb,viber,instagram na zengine ina features sawasawa na i phone au i pad kwani ni products za apple kwani inatumia i tune store .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom