Wakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya betri unakuta inaandika asilimia 1 au 90 mara 70 na unakuta labda ilikuwa kwenye 85%
Shida nini hapo?
Duuh mi nashangaa mkuu maana betri nilinunua mpya.. Hebu nielezee hapo naweza kusaidikaje..iphone 6 tatizo la 1% baada yawasha na kuwa na tabia ya kuzima linatokana na matatizo ya ic inayojulikana kama u1401 ic hivyo sijajua kwa dar au kokote tz kama kuna mtu anafanya hiyo ingawa ni nyepesi kubadili au ku reboiling hiyo ic nikimaliza mafunzo yangu nakusudia kuanza kufanya mambo hayo dar so tafuta fundi. sio battery utamaliza pesa bure
Na hilo tatizo husababishwa na nini?iphone 6 tatizo la 1% baada yawasha na kuwa na tabia ya kuzima linatokana na matatizo ya ic inayojulikana kama u1401 ic hivyo sijajua kwa dar au kokote tz kama kuna mtu anafanya hiyo ingawa ni nyepesi kubadili au ku reboiling hiyo ic nikimaliza mafunzo yangu nakusudia kuanza kufanya mambo hayo dar so tafuta fundi. sio battery utamaliza pesa bure
Na hilo tatizo husababishwa na nini?
Nafanyaje ili kufix tatizo mkuu?
My bana..Kumbe aifoni nayo ina mambo ya kitekino
Ngoja wajuzi waje
kwani hiyo sehemu haiwezi kubadilishwa kutoka kwenye spare?tafuta fundi aliyebobea anayelijua tatizo A to Z itakuwa ni wachache sana kama wapo vinginevyo simu itakuwa marehemu .simu zingine zinafia kwa mafundi not qualified in such a problem
Sijawai tumia iPhone ila kwa utafiti niliofanya ukiona iphone inajizima inajaa haraka kuliko kawaida alafu pia charge inaisha haraka au ku heat.its time to change your battery hapo battery lakubadilishaWakuu nna tatzo na simu yangu, nna hyo simu mfano nikipigiwa unashangaa imejizima ghafla, halafu inajiwasha, na hata ukiplay music unashangaa ghafla imezima yenyewe ikiwaka inachange level ya betri unakuta inaandika asilimia 1 au 90 mara 70 na unakuta labda ilikuwa kwenye 85%
Shida nini hapo?