[h=2]I PAD Mini ( white)-16 GB for sale>>ARUSHA[/h]
habari wakuu,
leo nawaletea I PAD mini 16 GB used (3 months) bei laki 7 tuu...
kwa wateja wa arusha, mkoani kama una interest na mzigo unaweza ukatafta kijana wako onbehalf..
utapata na charger na headphone zake.. sababu ya kuuza- iOS imenishinda natamani kurudi android:crying:
specifications zaid bofya apo chini Apple iPad mini Wi-Fi + Cellular - Full phone specifications
contact-0712 507060
karibuni.