.....kata mti panda mti? Wrong!.... At 22yrs huhitaji kutafuta wa kukuliwaza, ....jijengee/jiweke kwenye mazingira ya KUTAFUTWA!
Umeona na wewe swahiba wangu,
Yaani kana miaka 22 na tayari kanahangaika na midume?
Kakizidisha hiyo miaka mara 2 katakuwaje??
Nahofia miguu isijeota magamba kama ya sangara au kakaokota makopo kabisa!
Babu DC!!
lara 1 mimi nimependa ulivomwelezea kiueledi kabisa The Boss hapa...ashakum si matusi, unao uhakika na usemalo...Ushauri wangu, fukunyua MIZOMBII yako ya zamani utakuta japo mmoja wa kukufariji! Sababu ni only friendly company, mimi humu ndani namuamini mmoja tu, mzee wa CREDIBILITY!!!! a.k.a The Boss atakufaa sanaaaa, na ni mpinzani mkubwa wa KUONJA ONJA!!! LOL! The Boss nimekupa bao la kisigino hilo ushindwe mwenyewe!!! (USINUNE SANA!! The Boss)
Dah..we ckutak bhana
Owk,acha ntumike uo mtazamo wako ..i made my self clear naitaj company co mpnz,we vp
Hi wana mmu..
kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj company especial ya mkaka alie mcheshi,mkalimu,na atakaeweza kunifanya nisahau maumivu kwan nahc kuzidiwa kila cku zinavyozd kwnda
NB..wat i nid is jst a frnd,am 22 of age..
tatizo mnawaza mapenz tu...i said i nid frend co mnakurupuka tu,mnalipwa au??????respect ur selfes wakubwa

Nasubiria Pm yako beibe, uliza mtu yoyote hapa mtaani mimi ni comedian..
tatizo mnawaza mapenz tu...i said i nid frend co mnakurupuka tu,mnalipwa au??????respect ur selfes wakubwa
kwel we kongosho