miaka hiyo bado wanasoma
Hawajaja bado?
hakuna tatizo kama anasoma sio wengi wanao soma hususani wakifeli 4m4
Hajaja wapi? na kama humu ndani basi hao walo kuwemo ila asizidi miaka 23
mtaani kwenu hakuna
sasa kama anasoma wa nini umharibu mtoto wa wtu wewe???
Wamtaani sio fresh kwangu
Kwani alokuwa hasomi haharibiki
isitoshe sina mpango wa kuharibu
ndorrrobo.....!!
mchagua Nazi huinukia koroma
Nahitaji mchumba awe na umri miaka 18 au19 au 20 awe anatokea Zenji awe mrefu wa wastani asiwe mweupe wala mweusi awe na rangi ya wastani.
My number 0656741633
watakuja dogo. Lakini mdogo wangu iyo rangi ya wastani una uwezo wa kuigalimia? Iyo rangi gharama zake kubwa ndo maana watu wanaamua kuchukua caro light za buk 3 jiandae S.H AMON inakuhusu.