Mimi samahani humu Jamvini lakini asilimia kubwa kwenye relationship za Uchumba kina Dada wako fasta saana , wanapenda kuona vitu vinahappen haraka mno , kama mkaka hauko na uvumilivu na kuhimili vishindo vyao kweli wao tuu ndio watalaumiwa , nafikiri wakati mwingi kabla ya pingu za maisha huwa hawajiamini , ni mtazamo wangu tuu wa dada wa Jamvini humu au ?