Ipo saivi Nokia 3.4 iko vizuri mno usikivu uko vizuri sana.mi ni mpenzi Sana WA simu Aina ya Nokia Toka mwaka 2003 sajawahi kumiliki simu Aina tofauti na nokia.hii Nokia 3.4 nimeinunua mwaka Jana mwezi wa 10 inakamela 3 nyuma iko vizuri na nimeipenda Sana na hata usikivu wake mzuri Sana ina GB 64.