Nikiweka kwa kiswahili shairi litapotea. Ila kwa kifupi inahusu mwanamke ambae anakiri penzi lake kwa mwanaume.Hebu weka na kiswahili chake, inaonekana ni kamwimbo kazuri ila sasa wengine hatujui kilugha cha wazungu!
Nikiweka kwa kiswahili shairi litapotea. Ila kwa kifupi inahusu mwanamke ambae anakiri penzi lake kwa mwanaume.
kipengele cha kwanza anamwambia vile mchana na usiku, akilala akiamka mawazo yake yote yamevamiwa na huyo mwanaume.
Kipengele cha pili anaendelea kusema kwamba hajawahi kupenda namna anavo mpenda, na anajua ataendelea kumpenda hivo milele.
Kipengele cha tatu kinahusu anavo jiskia anapo wasiliana na mwanaume huyo, hasa walivoongea kwenye sim jana yake 🙂A S wink: ),
alafu kipengele cha nne anamwambia anamtaka maishani mwake, sio kama rafiki tu, anamtaka kama mume.
Anamalizia kwa kusema kua ndoto yake ni kwamba mwanaume huyo atampigia tena sim na kumwambia kua yeye ndie "the one"...
Ooooh Merci sana kwa kuweka kiswahili chake.
Mtu ukipendwa raha jamani! Du!.........
Vipi wewe? unapendwa? na unapenda?
Kupendwa kuna raha gani?
As much as I love the name James I have to confess kwamba nilikuta hivo hivo na siwezi kumfanyia bi Kristen editing bila ruhusa yake, basi nika copy-past hivo hivo, na nikaweka link yake. Muhimu message...There is nothing I can do to make it go away,
I'm in love with you James and my love is here to stay.
The feelings I have, I have never felt before,
I don't want anybody else and I know this for sure.
Jina lake ni James au ndo umesahau kubadilisha wakati ukipaste?
RR, Mashairi yako yamejaa ughani mtupu! ungeweka kwa kiswahili hata ukikatakata maneno ingeleta burudani zaidi!
Ndio maana nimetafsiri kwa kifupiNikiweka kwa kiswahili shairi litapotea. Ila kwa kifupi inahusu mwanamke ambae anakiri penzi lake kwa mwanaume.
kipengele cha kwanza anamwambia vile mchana na usiku, akilala akiamka mawazo yake yote yamevamiwa na huyo mwanaume.
Kipengele cha pili anaendelea kusema kwamba hajawahi kupenda namna anavo mpenda, na anajua ataendelea kumpenda hivo milele.
Kipengele cha tatu kinahusu anavo jiskia anapo wasiliana na mwanaume huyo, hasa walivoongea kwenye sim jana yake 🙂A S wink: ),
alafu kipengele cha nne anamwambia anamtaka maishani mwake, sio kama rafiki tu, anamtaka kama mume.
Anamalizia kwa kusema kua ndoto yake ni kwamba mwanaume huyo atampigia tena sim na kumwambia kua yeye ndie "the one"...
Naruhusiwa na mimi kucopy hii poem?
Unfortunately yes... kwa muda tu lakini (Inshallah)Haya mapenzi ya vitabuni bana!....ni mazuri sana kwa habari ya kusoma!
Roulette, nahisi shemegi yetu anaishi mbali na wewe!
Mhhh!....Some aroma of Distance Loving here!
Am I right?
Ooooh Gosh!Unfortunately yes... kwa muda tu lakini (Inshallah)