House girl.
Only kama hamna Sunday school....
Only kama hamna Sunday school....
Sunday school yetu tulitoka asubuhi...si mchana!!!!
Police aliwakamata wote.Inaonekana kila mmoja alikuwa anajua wakati jamaa anakufa.Kama wangekuwa hawajui,wasingejibu hilo swali.Au wangesema mimi sijui kwa sababu sina uhakika alikufa saa ngapi.Ila unaposema wakati anakufa nilikuwa na nakatia maua,ina maana unajua mauwaji hayo.Kwa hiyo ni wote walikamatwa ili kuisaidia police
Exactly Mentor! Do schools open on Sundays?