yaani we maria mawazo yako yote ni ya kijukwaaajukwaaa la kule kwetu tu?maskini poleee ulifumaniwa au??
angekuwa mwanadamu, tungemshauri akapime TB kama si VVU!!
MR mbona unaihusisha bad day na kufumaniwa , yawezekana aliingia daladala mlangoni wakachukua kila kitu mfukoni hivyo akaumbuka wakati kwa kudaiwa nauli LOLMaskini poleee ulifumaniwa au??