Bakariforever
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 510
- 514
halafu unaweza dhani ni mgeni kumbe li-vampire la humu la mda mrefu linawinda VI-BEN10
ππππππππ weee Jipu kwahiyo namimi nimeshakuwa jipu umenitumbua??????Hata hii iliyokuja na mtumbwi imekushinda hapo kwenye "harafu". Umemshauri vizuri
π³π³π³π³π³π³ kumbe ni wewe sorry mkuuππππππππ weee Jipu kwahiyo namimi nimeshakuwa jipu umenitumbua??????
Hahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] weee Jipu kwahiyo namimi nimeshakuwa jipu umenitumbua??????
Ung'ee vipi maana umesema I find????? Kweli? If you found why looking then? Say I am looking for a job!I find a job,I'm Tanzanian aged 22,living in Dar es salaan.I have diploma in cooperative management and accounting also I'm good in Customer care and the use of computer(Microsoft word and excel).If any one need a good worker please find me on 0715626606 or my email yfetty920@gmail.com. Thank you'
Na wewe umesahau kuweka nukta mwisho wa neno job.I'M LOOKING FOR JOB isomeke I'M LOOKING FOR A JOB
Hahahahaha LOLNa wewe umesahau kuweka nukta mwisho wa neno job.
Waacheni wenye namba za simu waje kwangu kwani ufalme wa dunia ni wao. Wewe hutaki watu kuchungulia fursa kwa jicho la tatuuuu πππππππUnasema una diploma ingawa uandishi wako na diploma mbona havionyeshi ushirikiano mzuri.
Na nadhani ungetoa tu email address ingetosha...maana hao Wagonjwa tu redioni wakitoa namba zao za simu wanaipata fresh, na ni wahitaji wa msaada, lakini Waja hawaelewi somo.
Sawa Mkuu.Waacheni wenye namba za simu waje kwangu kwani ufalme wa dunia ni wao. Wewe hutaki watu kuchungulia fursa kwa jicho la tatuuuu πππππππ