hapo kwenye rangi,inamaana unataka mwanaume au mtaji??? kama unashida na kazi si useme tukusaidieam a girl...btn 20-25 years!
black wa kawaida tu.am sooo lonely and every relationship i had before didnt work.i dont know why
i hv some problems in my life,mapoto ya hapa na pale but still stnding firm..kwa namna hii basi naomba uwe na true love na muelewa.kama unajijua ni player usije utanisababishia matatizo ya moyo.nihurumie!
naomba uwe na nia ya kweli kujicommit sio just for fun
UWE MREFU rangi yoyote.
uwe tayari unajitegemea na sitopenda kuwa tegemez kwako so ukipenda utaniwezesha kamtaji niwe entrepreneur tu cz sikubahatika kumaliza chuo kikuu
umri kuanzia 26 kuendelea
karibu.
mjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.Umeshaanza kuwa tegemezi hapo unaposema utaniwezesha...
hapo kwenye rangi,inamaana unataka mwanaume au mtaji??? kama unashida na kazi si useme tukusaidie
Nashukuru hapo mwisho kwa kua muwaz kwenye swala la.kuwezeshwa
Unakuwa mjinga kumwita mwingine mjinga kwani ni ujinga kumfikiria mtu kuwa mjinga.mjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.
Hongera sana mama.... acha nije pmmjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.
Acha kabisa mkuu mimi mwenye mfupi hapa ndio nilikua nawaza.....Haki ya Mungu wafupi tuna tengwa kweli!
Haya kila kheri, utampata mtu hapa
Ni pm