I am looking for editor and book translator

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,408
Mimi nimetunga kitabu ambacho ninataka kuingia katika soko la kimaifa. Kitabu chenyewe ninapanga kiwe na kichwa "chimbuko la imani ".

Nimekitunga kwa Kiswahili hivyo ninatafuta editor na translator anayeweza kukitafsiri katika lugha ya kiingereza. Awe ni mtu ambaye hajalewa imani bali ni mtu ambaye hata nikiandika kuwa imani yake imeanzia katika chanzo kingine tofauti na anachokijua anishauri kutokana na concept yenyewe na sio kuleta ubishi wa kile yeye anachoamini katika kazi yangu.

Ningependa awe na uzoefu wa publishing ili anishauri njia rahisi ya kuwafikia international publishers kupata fare contract.
 
Mimi nafanya hizo kazi, tuwasiliane.
 
Mi nakupongeza sana kwa kazi ya utunzi,nakutia moyo endelea na kazi hiyo,ufike mbali.
 
Mimi nimetunga kitabu ambacho ninataka kuingia katika soko la kimaifa. Kitabu chenyewe ninapanga kiwe na kichwa "chimbuko la imani ".

Nimekitunga kwa Kiswahili hivyo ninatafuta editor na translator anayeweza kukitafsiri katika lugha ya kiingereza. Awe ni mtu ambaye hajalewa imani bali ni mtu ambaye hata nikiandika kuwa imani yake imeanzia katika chanzo kingine tofauti na anachokijua anishauri kutokana na concept yenyewe na sio kuleta ubishi wa kile yeye anachoamini katika kazi yangu.

Ningependa awe na uzoefu wa publishing ili anishauri njia rahisi ya kuwafikia international publishers kupata fare contract.

Tuwasliane mkuu, ndo kazi yangu hiyo.
 
Am so fine in that, just call me on 0767328063
 
kama unahitaji promo kwenye mablog kama rahatupu niko hapa nicheki, tutakifanyia fitna
 
Back
Top Bottom