Natafuta kazi ya kufundisha. Umri wangu ni miaka 24 napatikana nyakato mwanza. Elimu ni shahahada ya ualimu ya masomo ya sanaa (geography na linguistic)
Nina experience ya miaka 3, na uwezo wa kufundisha secondary, primary na nursery pia tuition center......
My contact:+255716478972
Brother jiongeze kidogo kuna vishule vya kufundisha kingereza na sekondari maeneo uliyopo mfano Kanisa la Roma hapo, Nyuma ya kiwanda cha Sayona, huko upande wa mapili mahina mahina.