Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
Kijana hiyo inaonesha ukomavu wako wa kifikra. Na hao wasikukatishe tamaa, mtafute umpendae kwa taratibu ndio ufunge nae ndoa na ndipo uanze hayo mambo. Nakusifu sana kwa hilo.
Hao vijana wengine wasikukatishe tamaa, zinaa si uhodari ni ujinga. Furaha ya tendo la ndoa ni kwenye ndoa, wasikukatishe tamaa. Na wala hauwi gay kwa hilo, Gay ni yule anaependa kufanya ngono na watu wa jinsia moja na yeye. Mungu akuepushe na laana hiyo.
Hongeara kwa kuvumilia, ila Angalia zisihamie nyuma!Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
Ww Kloro naona unanitafuta.......
Umethibitishaje kama mm ni mtaalamu wa hayo mambo...
ishi vile upendavyo na si vile watu wasemavyo
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
Kumbe mara nyingine una busara ee!, Hongera
@The Boss
Duh, kweli weye mlezi wa watoto.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
soma tena
nimesema sio lazima ku sex
mimi nimesoma shule mtu siku ya birthday yako unafanyiwa sherehe
unakaa high table na ni lazima awepo mchumba wako pembeni
hata kama watu walikuwa hawamjui siku hiyo watamjua
ndo maana nimesema kuna faida nyingi mno
ukifika 17 na kuendelea iwepo hata 'mchumba mchumba'
hivi unadhani ni coincidence gays wengi walisoma 'all boys scholol'?????????
jiulize hilo......