Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 278
- 447
kazi ikimshinda huyo muhusika, nipo hapa wa kumsaidiaSijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Hahaha Simple harmonic motion ni watabe tu ndo tumekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]Kipenzi embu jibu hili swali la nyongeza: hiyo simple harmonic motion huwa unafanya na mtu mmoja ama kijiji kimepangwa.
NB: Kuwa honest nikusaidie.
Daaaah, Mhenga mwenzamgu umenisisimua mpaka nikemkuwa Kama vile niko under 30's! Sijui tutasaidianaje?Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Eh jmn nyie give us a breakSasa kama huwezi kuongea hata Wazazi wako mwemyewe unaweza kuongea na nani Dunia hii? Inaelekea basi matatizo yako ni makubwa zaidi na sidhani kama mwenyewe unaweza kutatua, anza kujenga imani kwa Wazazi kwanza ili ukiwa na tatizo waweze kukusaidia.
Eh jmn nyie give us a break
Namwambiaje mama au baba kuwa napenda kufanya mapenzi kupitiliza
Then wazazi watakusaidiaje kwa mfano?..Mleta mada amesema ni genetics yaani ni tatizo la kurithi hivyo Wazazi ni lazima watakuwa wanalijua kwa maana kwa kawaida Mwanamke mwenye high sex drive huwa ana shida na mahusiano na hubadilisha sexual partners mara kwa mara hivyo Wazazi ni lazima watahisi tatizo na hata wanaweza kukuuliza kwanza.
Hata kama hukai na Wazazi watu uliokaribu nao ni lazima wataona kuna kitu hakiko sawa.
Mie zikipita siku mbili tuu nakua mnyonge kabisa sijui nifanyeje aiseeMmmh! Bora we week! Me nikiptisha siku tatu naugua[emoji24][emoji24]
Then wazazi watakusaidiaje kwa mfano?..
Bora kumuona therapist
I feel mzazi ana conflict of interest..kitamaduni huwa hatuongelei ufanyaji mapenzi na wazazi
I dnt knw abt u but i dont roll with my parents like that
Ukiwa hujaolewa atawonder na km umeoleea atawonder zaidi..
To be honest there is nothing wrong with you..Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....
Ndicho nilichomshauri kwamba akatafute ushauri kwani mara nyingi Wanawake wa hivyo huwa inakuwa walibakwa utotoni na hivyo kujiona kwamba hawana thamani ni kama tu watoto wa kiume ambao ni mashoga wengi wao walikuwa dhaifu wkt wakiwa wadogo hivyo wale vijana watundu wakawaonea na kuwalazimisha kuwaingilia sasa wakafanya mara nyingi na kuzoea hivyo kuamua kuendelea kwani wanakuwa na trauma ambayo hawawezi kuikabili, ...
Usimtishe
To be honest there is nothing wrong with you..
Some tumeumbwa hivyo
I used to suspect i have quite a drive then was seeing a doctor one day akanieleza the same alivyoexamine baadhi ya vitu kwny mwili
And i have accepted and embraced myself kabisaa
Dawa yake is a partner anaependa mchezo kama wewe..and i just have ONE
Try to sample a Man who likes that..most men do
Hutojutia cause atakuhitaji na wewe hutojibana miili inahitaji for both of you
Kuhusu kazi
Get a job ama biashara stick to it
Usione dhambi kufanya sio dhambi mama
Kikubwa STICK TO UR HUSBAND/ONE MAN ONLY..ukimpata ambae yuko hyped kama wewe hivo mtaelewana mnooo na kufanya na mpenzio anytime frm morning,lunch breaks mara moja moja na jioni ndo mapenzi yenyewe
Ukiwa na Mwanaume who is hyper js like you it will never feel awkward hata siku moja...it always be mutual
Na huwa mnakuwa na gubu kweli mkiwa na genyeeeHili ni tatizo linatukumba watu wengi tusiokunywa pombe, kuvuta sigara ama kutofanya mazoezi, hata kama una majukumu kuna muda wa kupumzika kama kulala nk, huo muda sasa kichwa kinawaza kuliwa tu, nyege zinapanda mpaka unajikuta unajirembulia mwenyewe tu
Nini kifanyike sasa!! Ni kumpa mzee agonge shida inakuja km mzee yuko biiize na hajakusoma au nae ndo wale wa kimoja anaanza kukoroma
Na huwa mnakuwa na gubu kweli mkiwa na genyeee
Ile ishu ya darasa vipi, mbona umeniacha solembaUnafanya na mtu mmoja or huwa unafanya na watu tofautitofauti???...tuanzie hapo kwanza