Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
HaswaaaaaWatu wanatafuta wanawake kama wewe
SijawahiMara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.
Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Ampikie chakula kizuri, amfanyie massage na awe anamtega tega. Hatakosa hata kamoja kila siku au baada ya siku mbili.Mwenzie sasa, ataweza?
Clinical psychologist atamsaidiaje?Mara nyingi wanawake waliolazimishwa/ingiliwa kwa nguvu wakati wa utotoni na Wanaume wazima ndo huwa na hayo matatizo, huwa wanakuwa high sex drive, lkn inatibika ni trauma, tafuta clinical psychologist atakusaidia, uwe mkweli na historia ya maisha yako.
Nilishawahi kuwa na demu kama hiyo, baada ya kuona kwamba alikuwa na high sex drive klk kawaida nikaanza kuongea naye pole pole aliponiamini akafunguka na kuniambia kilichomtokea utotoni, inasikitisha sana.
Sijui ni tatizo, sijui ni kawaida, sijui naendekeza sijuiii....zamani nilihisi tu mambo ya u-teenager wala sikuona kama ni ishu, baadae nikahisi pia labda ujana tu ugali wa bure unakimbilia chini, kula kulala kunanizidishia hamu majukumu yakija nyegezi zitayeyuka, ila sasa naanza kushtuka na kuona sio kawaida baada ya kujiona nazeeka na hamu zangu.
Nimeshajaribu kujijengea hobbies na vitu vingine naona holaaa, kidogo social media zimenisaidi nimeimprove kiasi naweza pitisha wiki, kwakweli wiki ni improvement kubwa kwangu yani wiki without kwichii kwichii kwichiii ooh hallelujah. Niwe na furaha, huzuni, raha karaha kazi ni moja tu....koh koh
Muda wangu mwingi nawaza na kuutumia kwenye dudu la yuyu, nikipanga kufanya ishu muhimu ntajivutaaa weee najizungusha weee ila kwenye hii kitu sipotezi hata sekunde, sijarogwa kweli? Nahitaji kubadilika niwe busy na mambo mengine, nifanye nini?
Mtakaonisema, nidhihaki na mengineyo namwachia alie juu.
Alamsik....

Unakunwa ipasavyo kweli au wanakupapasa tu...??
Sijawahi