Acha azitumie ili watu wazisome zaidi hizo silaha na kisha kuzitafutia muarobaini wake.
Kama S-300 bado inawakalisha labda 2060 huko mtaweza kupata muarobaini hapo mwenzenu tayar atakua na madude ya hatari
Aliyedhalilika kachukua maeneo anayamiliki nyie mmebaki kubwabwaja mdomo kusema kakimbia Kiev utasema Ukrein ninkiev peke yakeMikwala kama kawaida yake.., Russia asingekubali kudhalikika kiasi hiki, mpaka hapa alipofikia,huo uwezekano wa kutumia hizo hypersonic kuichakaza Ukraine ungekuwepo angefanya hivyo tangia mwanzo,
Japo wengi humu mnapenda kujifariji kwamba urusi sijui katumia asilimia 5 tu ya nguvu zake.., lakini kihualisia silaha hambayo Russia hajatumia huko Ukraine,labda ni nyukria tu.
S300 si ndo imepigwa kwenye ile meli ya Moskva? Na majuzi pia kuna clip ilitumwa humu ikionesha s300 ilivyopasuliwa.Kama S-300 bado inawakalisha labda 2060 huko mtaweza kupata muarobaini hapo mwenzenu tayar atakua na madude ya hatari
Kwa hiyo huko Kyiv alikuwa royal tour,sio??Aliyedhalilika kachukua maeneo anayamiliki nyie mmebaki kubwabwaja mdomo kusema kakimbia Kiev utasema Ukrein ninkiev peke yake
Hii Vita imeivua nguo UrusiMeli yake bora kabisa iliyokuwa updated Moskov ishazamishwa na tena ikiwa na mitambo hiyo ya S-300
Hivi ushawahi fikiria Supapawa akiwa na ndoto ya kuwa SuperPower ktk Navy
Urusi anapoteza muda tu....hiyo vita kitaalamu imekuwa Stalemate hawezi kuvuka zaidi....umefikiri NATO angekuwepo full hapo na askari zake walau laki 3 hiyo Vita siingepiganiwa Moscow hadi viunga vya St Petersburg
Urusi, Hurusi, Harusi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Msicho kijua ni kwamba viongozi wa jeshi la Ukraine ni wasanii sana, leo wanasema HIMARS kiboko yao kesho yake wanalalamika kwamba ulengaji shabaha una walakini sana,wanakasirika eti kwa nini Wamerikani hawa watrust Waukraine kufyatuwa maroketi hayo na hata hawapewi coordinates za targets au kuambiwa ni target zipi zinalengwa,yaani wanajeshi wa Ukraine pale kama decoy tu wanambiwa wafyatuwe artillery na MRLS za kizamani za Urusi ili Warusi wajibu mapigo mpaka wa exhaust akiba zao za ammunitions na rockets baada ya hapo ndipo Wamerekani wanafyatuwa HIMARS wakilenga targets za Warusi - cha kujiuliza hapa: Kwa nini Wamerikani hawa wamini wanajeshi wa Ukraine na kwa nini Afisa wa jeshi la Ukraine aseme eti HIMARS zina walakini kwenye ulengaji shabaha hivyo wapewe Waukraine ili wazifanyie marekebisho katika ulengaji shabaha - nilishangaa sana kusikia malalamiko hayo.S300 si ndo imepigwa kwenye ile meli ya Moskva? Na majuzi pia kuna clip ilitumwa humu ikionesha s300 ilivyopasuliwa.
bado mawe mkuu nayo ni silahaa ahahahaMikwala kama kawaida yake.., Russia asingekubali kudhalikika kiasi hiki, mpaka hapa alipofikia,huo uwezekano wa kutumia hizo hypersonic kuichakaza Ukraine ungekuwepo angefanya hivyo tangia mwanzo,
Japo wengi humu mnapenda kujifariji kwamba urusi sijui katumia asilimia 5 tu ya nguvu zake.., lakini kihualisia silaha hambayo Russia hajatumia huko Ukraine,labda ni nyukria tu.
kwa taifa dogo kama Ukraine sio la kumfanya Putin kujificha miez kadhaa halaf wao wapo kiev wanadunda , Urusi kabakisha mawe tu kutumia kwenye hii vitaMsicho kijua ni kwamba viongozi wa jeshi la Ukraine ni wasanii sana, leo wanasema HIMARS kiboko yao kesho yake wanalalamika kwamba ulengaji shabaha una walakini sana,wanakasirika eti kwa nini Wamerikani hawa watrust Waukraine kufyatuwa maroketi hayo na hata hawapewi coordinates za targets au kuambiwa ni target zipi zinalengwa,yaani wanajeshi wa Ukraine pale kama decoy tu wanambiwa wafyatuwe artillery na MRLS za kizamani za Urusi ili Warusi wajibu mapigo mpaka wa exhaust akiba zao za ammunitions na rockets baada ya hapo ndipo Wamerekani wanafyatuwa HIMARS wakilenga targets za Warusi - cha kujiuliza hapa: Kwa nini Wamerikani hawa wamini wanajeshi wa Ukraine na kwa nini Afisa wa jeshi la Ukraine aseme eti HIMARS zina walakini kwenye ulengaji shabaha hivyo wapewe Waukraine ili wazifanyie marekebisho katika ulengaji shabaha - nilishangaa sana kusikia malalamiko hayo.
Syria alikua hapigani na jeshi la nchi bali magaidi wabeba AK-47 na mabomu ya kujitoa muhanga ndo maana alikua anaingiza madege yake makubwa yanafurumusha dummy bombs na maroketi.Vita ya Syria Urusi alifanya vizuri sana, sasa hapo Ukraine mbona vita hamalizi? Pananini hata Zelensky analeta dharau hivi?
Hio S300 ni ya ndege za kivita tu, sio yakutungua vidrone vya kuripua ghorafa tena kachumba tu 😂 hizo drone hata zile bunduki tulizo kuwa tunatengeneza kuwindia ndege zile tetere zinangusha drone.ni hii S 300 inayoshambuliwa na vidrone kama vya millardayo au S ipi?
shame on Russia. (RUSIAN MANDONGA)