Hypersonic missiles zinaandaliwa kwenye meli za Urusi kuichakaza Ukraine

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542

Putin reveals imminent delivery of new hypersonic missiles​

The frigate Admiral Gorshkov will be the first vessel to be equipped with the weapon

The Russian frigate Admiral Gorshkov fires a Zircon missile during a drill in the Barents Sea, 2021.

Russia’s naval fleet will start receiving the newest Zircon hypersonic anti-ship cruise missiles “in the coming months,”President Vladimir Putin has said.

The Russian president praised the weapon on Sunday, saying that “no obstacles” can stop the rockets.
“The Russian Armed Forces will start receiving them in the coming months,”Putin said during a Navy Day speech in St. Petersburg. “The first ship equipped with this mighty weapon will be the frigate Admiral Gorshkov,” he added.

According to Putin, the frigate’s exact deployment will be chosen “in accordance with the interest of maintaining Russia’s security.”

Putin added that Russia will defend its maritime interests “resolutely and with all its capabilities
 
Mikwala kama kawaida yake.., Russia asingekubali kudhalikika kiasi hiki, mpaka hapa alipofikia,huo uwezekano wa kutumia hizo hypersonic kuichakaza Ukraine ungekuwepo angefanya hivyo tangia mwanzo,
Japo wengi humu mnapenda kujifariji kwamba urusi sijui katumia asilimia 5 tu ya nguvu zake .., lakini kihualisia silaha hambayo Russia hajatumia huko Ukraine,labda ni nyukria tu.
 
Aliyedhalilika kachukua maeneo anayamiliki nyie mmebaki kubwabwaja mdomo kusema kakimbia Kiev utasema Ukrein ninkiev peke yake
 
Meli yake bora kabisa iliyokuwa updated Moskov ishazamishwa na tena ikiwa na mitambo hiyo ya S-300

Hivi ushawahi fikiria Supapawa akiwa na ndoto ya kuwa SuperPower ktk Navy

Urusi anapoteza muda tu....hiyo vita kitaalamu imekuwa Stalemate hawezi kuvuka zaidi....umefikiri NATO angekuwepo full hapo na askari zake walau laki 3 hiyo Vita siingepiganiwa Moscow hadi viunga vya St Petersburg

Urusi, Hurusi, Harusi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hii Vita imeivua nguo Urusi
 
S300 si ndo imepigwa kwenye ile meli ya Moskva? Na majuzi pia kuna clip ilitumwa humu ikionesha s300 ilivyopasuliwa.
Msicho kijua ni kwamba viongozi wa jeshi la Ukraine ni wasanii sana, leo wanasema HIMARS kiboko yao kesho yake wanalalamika kwamba ulengaji shabaha una walakini sana,wanakasirika eti kwa nini Wamerikani hawa watrust Waukraine kufyatuwa maroketi hayo na hata hawapewi coordinates za targets au kuambiwa ni target zipi zinalengwa,yaani wanajeshi wa Ukraine pale kama decoy tu wanambiwa wafyatuwe artillery na MRLS za kizamani za Urusi ili Warusi wajibu mapigo mpaka wa exhaust akiba zao za ammunitions na rockets baada ya hapo ndipo Wamerekani wanafyatuwa HIMARS wakilenga targets za Warusi - cha kujiuliza hapa: Kwa nini Wamerikani hawa wamini wanajeshi wa Ukraine na kwa nini Afisa wa jeshi la Ukraine aseme eti HIMARS zina walakini kwenye ulengaji shabaha hivyo wapewe Waukraine ili wazifanyie marekebisho katika ulengaji shabaha - nilishangaa sana kusikia malalamiko hayo.
 
Vita ya Syria Urusi alifanya vizuri sana, sasa hapo Ukraine mbona vita hamalizi? Pananini hata Zelensky analeta dharau hivi?
 
Mikwala kama kawaida yake.., Russia asingekubali kudhalikika kiasi hiki, mpaka hapa alipofikia,huo uwezekano wa kutumia hizo hypersonic kuichakaza Ukraine ungekuwepo angefanya hivyo tangia mwanzo,
Japo wengi humu mnapenda kujifariji kwamba urusi sijui katumia asilimia 5 tu ya nguvu zake .., lakini kihualisia silaha hambayo Russia hajatumia huko Ukraine,labda ni nyukria tu.
bado mawe mkuu nayo ni silahaa ahahaha
 
Msicho kijua ni kwamba viongozi wa jeshi la Ukraine ni wasanii sana, leo wanasema HIMARS kiboko yao kesho yake wanalalamika kwamba ulengaji shabaha una walakini sana,wanakasirika eti kwa nini Wamerikani hawa watrust Waukraine kufyatuwa maroketi hayo na hata hawapewi coordinates za targets au kuambiwa ni target zipi zinalengwa,yaani wanajeshi wa Ukraine pale kama decoy tu wanambiwa wafyatuwe artillery na MRLS za kizamani za Urusi ili Warusi wajibu mapigo mpaka wa exhaust akiba zao za ammunitions na rockets baada ya hapo ndipo Wamerekani wanafyatuwa HIMARS wakilenga targets za Warusi - cha kujiuliza hapa: Kwa nini Wamerikani hawa wamini wanajeshi wa Ukraine na kwa nini Afisa wa jeshi la Ukraine aseme eti HIMARS zina walakini kwenye ulengaji shabaha hivyo wapewe Waukraine ili wazifanyie marekebisho katika ulengaji shabaha - nilishangaa sana kusikia malalamiko hayo.
kwa taifa dogo kama Ukraine sio la kumfanya Putin kujificha miez kadhaa halaf wao wapo kiev wanadunda , Urusi kabakisha mawe tu kutumia kwenye hii vita
 
ni hii S 300 inayoshambuliwa na vidrone kama vya millardayo au S ipi?

shame on Russia . (RUSIAN MANDONGA)
Hio S300 ni ya ndege za kivita tu, sio yakutungua vidrone vya kuripua ghorafa tena kachumba tu 😂 hizo drone hata zile bunduki tulizo kuwa tunatengeneza kuwindia ndege zile tetere zinangusha drone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom